-->

Header Ads

The Game asema Meekmil na Safaree wapigane.

Bifu ambalo linaendelea kati ya wapenzi wa zamani wa Nick Minaj ,Meekmil na Safaree limeendelea kushika kasi baada ya rappa the game kusema ugomvi wao umalizwe kwa wao kupigana.

Akiwa anatoka kwenye Mchezo wa mpira wa mikono wa wanaume(Basketball) ambao ulihusisha mastaa wakubwa ,The Game aliuzwa kitendo cha Safaree kuvamiwa na kikundi cha marafiki wa Meekmil na kushambuliwa."i think Meekmil and Safaree should fight but iam staying out of it" alisema rappa The Game.

No comments

Powered by Blogger.