-->

Header Ads

UKWELI KUHUSU KYLE JENNER NA TYGA KURUDIANA

Kuna muda inakua vigumu kumsahau mpenzi wako wa zamani na kujikuta mnarudisha mapenzi yenu upya.

Hayo yameonekana kwa staa Kylie Jenner ambaye alikua mpenzi wa Rappa Tyga ambao waliachana.

Lakini katika kipindi cha Keeping up with kardashians siku ya ijumaa tarehe 23 mwezi wa 7, mwanadada kylie Jenner alionekana amevaa pete ya dhahabu aliopewa na rappa Tyga
Kitu ambacho kimefanya baadhi ya watu kuthibitisha kua mastaa hao wamerudiana.

Lakini pia kwenye  ukurasa wake wa instagram mwanadada Kylie Jenner alituma picha huku akisema ammemis mtu"i miss someone"


TUSUBIRI TUONE KINACHOENDELEA, LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HISTORIA IKAJIRUDIA TENA..

No comments

Powered by Blogger.