-->

Header Ads

MAJIBU YA MRISHO GAMBO KWA LAWAMA ZA MBUNGE LEMA HAYA HAPA


RC Gambo Amjibu Lema kwa Nini Hakumpa Nafasi ya Kuongea Jana Kwenye Shughuli ya Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha.
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema 


mrisho_gambo Karibu Mkoani Arusha Mhe Makam wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakushukuru kwa kuja kutufariji kwenye msiba huu mkubwa.
load more comments
elijah_peter20177Uongozi wa kibabe sio mzuri.. Yaani hata kumpa mtu aliyechaguliwa na wakazi wa arusha dakika kadhaa inakuuma. Daaah huyo ni kukosa ubinadamu, unafiki mkubwa, na roho mbayaa. Ila Acha tuone mwisho wake..
glowrymassawe07Unajua kama utakufa na Arusha utaiacha? Unajua kama u RC utauacha? Subiri naww ukabaguliwe kwa Mungu uone raha yake! Awa viongozi wa asante raisi sjui wana nn? Ubinafsi ad msibani? Au uliisi atapewa rambi rambi? Alafu upo jimboni kwake yan kwa wananchi wake walompigia kura! Ww kakupigia nan kura? Mxiiiew we kaka ulaaniwe kwa ubinafsi wako wa msibani au ulijua lema akiongea atakula ubwabwa mwingi? Nonsense 😏
husnalihawaNilikua nakukubal..ila dsh, nmekua disappointed sana na leo
sanoresgeneral@husnalihawa je unajua lema alicho mkosea? Jaribu kufikilia upandewako mtualie kuzarau nakukukosea adabu kupitiliza unaweza kumstahimala? Pia kumbuka pamoja na mabaya yootee alomfanyia ila gambo alitambua uwepo wake ila lema anakiburi sanaa ndiomaana Janatu aliongea maneno ya kukashifu alafu unafikiri ungekuwa wewe ungehimili kweli zarau za lema chamsingi lazima uheshimu nawe utaheshimika ila lema anataka aheshimiwe wakati yeye anazarau sanaaa aige mfano wa kamanda Joshua nasali
gloryrutazaaCjakupenda tabia ulofanya jmn
irene__mbitaMbona umemnyima Lema nafasi kutoa rambirambi kwa wananchi unaufhi sana
mrisho_gambo@husnalihawa Sikuwapa hata wabunge wa CCM. Tulimpa Mbowe kwa niaba ya Wabunge wa upinzani Kama kiongozi wa Upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chadema, tukampa na Kinana kwa niaba ya CCM.
mrisho_gambo@gloryrutazaa Sikuwapa hata wabunge wa CCM. Tulimpa Mbowe kwa niaba ya Wabunge wa upinzani Kama kiongozi wa Upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chadema, tukampa na Kinana kwa niaba ya CCM.
mrisho_gambo@husnalihawa Sikuwapa hata wabunge wa CCM. Tulimpa Mbowe kwa niaba ya Wabunge wa upinzani Kama kiongozi wa Upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chadema, tukampa na Kinana kwa niaba ya CCM.
mrisho_gambo@jolter_g_heriel Sikuwapa hata wabunge wa CCM. Tulimpa Mbowe kwa niaba ya Wabunge wa upinzani Kama kiongozi wa Upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chadema, tukampa na Kinana kwa niaba ya CCM.





JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.