Jay-z atangaza sherehe zitakazo husisha usikilizaji wa nyimbo za kwenye albamu yake mpya.
Ikiwa ni siku chache tangu mtandao wa kuskilizia muziki wa Tidal anao umiliki Jay-z uatangaze ujio wa albamu mpya ya Jay-z itakayo itwa 4:44 ambayo itahusisha nyimbo mpya za rappa huyo.
Leo hii tarehe25-06-2017 rappa Jay z ametangaza uwepo wa sherehe ambazo zitahusisha usikilizaji wa nyimbo zake mpya zitakazokuwa kwenye albamu yake mpya.
Albamu hiyo ambayo inatarajiwa kutoka tarehe 30 ya mwezi wa sita mwaka huu imekua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Jay z.
Sherehe hizo ambazo zimepewa jina la Listening parties zitahusisha maeneo mbalimbali ya Marekani ambayo ni New york city,Los Angeles na maeneo mengine mengi.
No comments