-->

Header Ads

KIMENUKAAA MH. BASHE : "CCM ACHENI UNAFKI ..KWA HILI NIKO TAYARI MNIONDOE KWENYE CHAMA"

Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe leo April 11 2017 amesimama bungeni kuomba taarifa kwa mwenyekiti wa bunge baada ya waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene kumtaka mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuthibitisha tuhuma zake kwamba usalama wa taifa wamekuwa wakiwakamata watu kinyume cha sheria.









Mbunge Hussein Bashe akasiamam na kusema…..>>>’CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama’.

ENDELEA KUWA KARIBU NA AKISI TV MUDA WOTE TUKUHABARISHE...










CHANZO CHA HABARI :MILLARDAYO.COM

No comments

Powered by Blogger.