-->

Header Ads

VIDEO: ALICHOKISEMA WAZIRI UMMY MWALIMU KUHUSU MADAI YA MAMA KUIBIWA MTOTO HOSPITAL

Waziri wa afya, Ummy Mwalimu LEO, jijini Dar es salaam, amewaambiwa waandinshi wa habari juu ya Hatua zilizochukuliwa na wizara ya afya, jinsia wazee na watoto kuhusu 'bi.husna' mama anayelalamika kuibiwa mtoto wake wakati wa kujifungua hospitali ambapo vipimo vya mwanzo kulingana na mama huyo, vilionesha kuwa na watoto mapacha...

Mama huyo amepinga ripoti ambayo ilitoka kwa kamati ya uchunguzi iliyoundwa kuchunguza jambo hilo na kudai kuwa mama huyo hakuwa na watoto mapacha na kwamba alikuwa na mtoto mmoja hivyo vipimo alivyopewa mwanzo vilikuwa sio sahihi.

Nimekuwekea VIDEO HII HAPA CHINI CLICK KUTAZAMA ALICHOKISEMA UMMY MWALIMU...


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.