-->

Header Ads

FAHAMU NAMNA UOVU UNAVYORUDISHA NYUMA MAFANIKIO YAKO- MWL GRACE LIVE TEACHING SESSION

Umewahi kufikiria kuhusu namna ambavyo dhambi imekuwa  kikwazo kwa maisha yako? Maendeleo yako, uchumi wako, elimu yako? Najua unafahamu lakini swali nikuulize, je? Ni hatua gani unachukua? Ni wazi kuwa vita sio rahisi kwa mawazo ya kibinadamu, karibu upate kujua siri zilizojificha na mbinu za kutoka huko ulipo..

Mwalimu Grace Elirehema Kissuu yupo tayari kukuletea karibu maarifa haya jupitia mafundisho yake.

Hapa nimekuwekea video ufuatilie live ujifunze kitu. Usikubali kupitwa na huduma hii kwani wakati ni sasa...

No comments

Powered by Blogger.