-->

Header Ads

SPECIAL TALK: KABLA HUJAKAMATWA NA POLISI ZINGATIA HAYA



Msomaji na mtazamaji wa akisi tvnimekuletea hii kwa ajili yako ili ufahamu sheria hii 
Huyu ni Wakili wa kujitegemea na Mwanasheria wa Haki za Binadamu, Jebra Kambole akizungumza kuhusu haki za raia na mamlaka waliyokuwa nayo Polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa ili kuwa na uhakika kama anayekamata ni Polisi au la.

Bonyeza play hapa chini kutazama ili kujua haki na wajibu wa raia pindi anapokamatwa na Polisi na mamlaka waliyonayo polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa.

source: millardayo.com

No comments

Powered by Blogger.