Watu Wafurika Kumuangalia Zari Mlimani City.
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.
Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi
Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.