Hitilafu mitambo ya Songas Ulivyosababisa kukatika umeme baadhi ya maeneo Dar
Dar es Salaam.
Shirika la Umeme Tanzania limesema chanzo umeme kukatika ghafla umeme baadhi ya maeneo Dar es Salaam kumesababishwa na hitilafu iliyotokea katika mitambo ya Songas.
Shirika la Umeme Tanzania limesema chanzo umeme kukatika ghafla umeme baadhi ya maeneo Dar es Salaam kumesababishwa na hitilafu iliyotokea katika mitambo ya Songas.
Meneja
Uhusiano wa Tanesco, Leila Muhaji ameliambia gazeti hili kwa simu tukio
lilitokea maeneo mbalimbali yakiwamo Ubungo na Mbezi.
"Tunaomba
radhi wateja wetu kwa usumbufu uliojitokeza kwa kukosa huduma hii.
Nawahakikishia mafundi wameshaanza kulifanyia kazi haitafika saa 5 usiku
umeme utarudi katika hali yake.
Muhaji amesema tayari
maeneo mengine ikiwamo Ubungo huduma imerudi katika hali yake ya kawaida
baada ya mafundi kuanza kazi ya kurekebisha itailafu hiyo.
Ad
Ad

JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,