-->

Header Ads

BREAKING: Waziri Mwijage apiga marufuku watendaji kufunga viwanda


Baada ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kufanya ziara ya ghafla katika kituo cha SIDO Kagera, ametumia nafasi hiyo kupiga marufuku watendaji kufungia viwanda bila kumshirikisha.
Waziri Mwijege amesema>>>”Sio kawaida yangu kufungia viwanda. Nitumie nafasi hii pia kuwakemea watendaji wote walioko chini yangu, wasifunge kiwanda bila kuniuliza mimi. Siwezi kushinda napiga kelele kuhimiza kujenga viwanda halafu anakuja mtu anafungia kiwanda tena yupo chini yangu.” – Waziri Mwijage.



JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.