Agizo la Naibu Waziri Jafo kwa Maofisa Kilimo na Wakuu wa Mikoa
October 4, 2017 Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo alikutana na waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma na kutoa agizo kwa Maofisa Kilimo wote nchini watakaoshindwa kutekeleza kutekeleza mipango kazi ya kilimo katika Halmashauri zao wataachishwa kazi na nafasi zao kupewa watu wengine.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
No comments