-->

Header Ads

RUSHWA UCHAGUZI UVCCM: CCM Rorya waelezea kuanzia mwanzo

Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye ameahidi kuwafuta uanachama wagombe wa nafasi za Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ baada ya kunasa sauti za kupeana rushwa kwenye uchaguzi huo.
Akizungumza na Akisitv.com , Kiboye amesema, wamewahoji wanaodaiwa kufanya hivyo na baadhi yao wamekiri kuhusika, hivyo watachukuliwa hatua zinazostahili.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,
Powered by Blogger.