YANGA YALIAMSHA DUDE, YASAJILI BEKI HUYU MATATA..
Baada ya kimya kingi sasa klabu ya Yanga yaaza usajili wake kimya kimya kwa kumtwa beki kisiki kutoka Jang'ombe ya Zanzibar akijulikana kama Haji Shaibu "Ninja".
beki huyo amesaini mkataba wa kumuweka Yanga kwa muda wa miaka miwili. ikumbukwe Yanga wamemwongezea mkata beki wake mkongwe Nadir Haroub " Canavalo" huku Oscar Jushua na Vincent Bosou wakiwa hatiani kutimka katika klabu hiyo.
No comments