-->

Header Ads

SABABU ZA MANJI KUJIUZULU YANGA, BARUA YAKE HII HAPA..

Taarifa ambazo bado hazijithibitishwa zinasema mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amejiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti kwenye klabu hiyo yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani,Kariakoo,Dar Es Salaam.

Kwa mujibu wa barua iliyoufikia mtandao wetu ambayo imeachiwa kama nakala kwa vyombo vya habari imeonyesha ilitiwa saini jana Jumatatu Mei 22.

Baada ya kupigiwa simu na AkisiTv kutaka kujua ukweli huo wa habari hiyo, Manji hakupatikana hewani. hata hivyo bado tupo kwenye harakati za kuwapata viongozi wa Yanga kuthibitisha taarifa hizi. kaa karibu na AkisiTv kupata mwendelezo wa habari hii

Barua hii hapa 

No comments

Powered by Blogger.