-->

Header Ads

MWENYEKITI WA KAMATI UVAMIZI WA CLOUDS ATISHIWA MAISHA

Mwenyekiti wa Kamati wa Uchunguzi wa Tukio la uvamizi wa kituo cha Habari cha Clouds Televisheni, Deodatus Balile ametishiwa maisha na kudukuliwa mawasiliana.

Balile kwenye akaunti yake ya Facebook, ametanabaisha mbinu zilizokuwa zikitumiwa na watu wenye nia ovu naye kwa kudukua mawasiliano yake.

Balile ameleeza kuwa mawasiliano hayo yaliingiliwa mpaka kwenye shughuli za Ofisi
Balile  pia ni Mkuregenzi Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri

"Juzi mawasiliano ya ofisini kwetu yalidukuliwa. Makala inayopaswa kusomwa kesho, waliojiteua kuwa wasaidizi wa aliyetaka nimwombe radhi kwa kufanya kazi niliyotumwa mchana kweupe, wametamba kuwa wanafuatilia maisha yangu hadi uvunguni mwa kitanda changu" amesema Balile.

No comments

Powered by Blogger.