NAPE: MKUU WA MKOA HAYUKO JUU YA SHERIA... MAMBO YAANZA KUTOKOTA UPYA!!
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhojiwa na kituo cha Star Tv kuhusu mambo kadha wa kadha likiwemo suala la uvamizi wa Clouds Media na kusema Hakupaswa kumuingilia kwakuwa wote ni watumishi... Basi Nape amemjibu hivi kupitia Ukurasa wake wa instagram..
"Niliunda Kamati Kuchunguza TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA UTANGAZAJI sio kumchunguza RC.Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, HAYUKO JUU YA SHERIA!
Tangaza nasi akisitv.com tupeleke biashara yako kwa watu waijue..
No comments