RASMI; BARUA YA FIFA KUIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA HII HAPA.
Baada ya raisi wa TFF, Jamal Malinzi kutoa pongezi za Yanga kutoka kwa raisi wa FIFA, Infantini na kuzua kizazaa mitandaoni kutokana na klabu ya Simba kudai wamekata rufaa ya kupinga ubingwa wa Yanga.
TFF wametoa nakala ya barua iyo ambayo imesainiwa na raisi wa FIFA imeandikwa kwa lugha ya kiingereza ikiwa inatoa pongezi kwa klabu ya Yanga kushinda ubingwa wa ligi na jumuhiya yote ya mpira Tanzania.
Hivyo imeongeza utata zaidi juu ya rufaa ya Simba ambayo viongozi wanadai bado hawajibiwa na kusisitiza kutoitambua Yanga kama mabingwa.
Barua hiyo inasomeka kama ifuatavyo. Kaa karibu na AkisiTv kwa taarifa zaidi.
No comments