-->

Header Ads

MANENO 43 ALIYOSEMA RAIS MAGUFULI KUOMBOLEZA VIFO VYA WATOTO ARUSHA LEO


  1. Kupitia ukurasa wake wa twitter rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameandika maneno haya kwa kuandika kwenye ukurasa huo. 
    Post tatu tofauti zikionesha hisia za rais MAGUFULI kwa tukio la ajali liliouwa jumla ya watu 35 wakiwemo wanafunzi na walimu pamoja na dereva wa gari walilokuwa wakisafiria. 
    Haya ndio maneno aliyoandika Mh. Rais Dk. MAGUFULI kwenye ukurasa wake. 



  1. Tunapoomboleza vifo vya wapendwa wetu tuendelee kuwa wamoja. Mungu ibariki Tanzania.
  2. Tumewapoteza mashujaa wetu ktk elimu. Tuwaombee na tuendelee kuwa na subira, uvumilivu na ustahimilivu 2/2
  3. Nimepatwa na uchungu na majonzi makubwa ninapoyaona majeneza ya watoto na walezi wao waliopoteza maisha katika ajali ya basi huko Arusha 1/2


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.