-->

Header Ads

DUH!! KUMBE DIVA ANA MIMBA YA HERI MUZIKI.. STORY NZIMA HII HAPA



Mtangazaji mwenye sauti nyororo kunako bongo Tanzania, Diva the Bawse Clouds fm ambaye siku za hivi karibuni amekuwa akifaidi uroda wa mserengeti boy kutoka kiwanda cha bongo flevani Heri Muziki leo kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa maneno yanayoashiria kuwa na 'kibendi' cha mwanamuziki huyo anayetamba na ngoma yake ya 'Sweetylove'.

Diva amedai kuwa yeye na baba watoto wake huyo wanatarajia mtoto wao hivi karibuni.


Nimekuwekea kila kitu alichosema diva, hiki hapa


divatheebawseMy Dad told me.. "a person who values u wouldn't ever put themselves in a position to lose u" and that really hit deep, 
Man ... @herimuziki Wangu Leo Umezaliwa and trust me yo mom is the sweetest mom on earth, Nafurahia to get to kno her no wonder yo the sweetest ever , Love story yetu is my fave , yes .. tulianza Kwa siri tukakaa ,nakumbuka When we first met, I had no idea you'd become this important to me. have a lot to tel you kiddle but i kno ume sacrifice sana Kuwa na mimi , Im too tough ... Nakusumbua sana ikno thank You unanivumilia , Nakumbuka Our Love story' My fave love story ilianza na Watu ambao they kno nothing about me walikuambia Kuwa na Mimi lilikuwa Kosa Kubwa, wengine walisema Kiki, wengine umri yan kila mtu na lake , like ikr 🙄wengine walisema wanayoyajua Wao but dude , You been there for me ,tena wakati napigwa mawe Hasa , kejeli all the Bullshit , umeshuhudia yote ,mara this mara that wala hukutetereka ,you bn there for me , ata hukujal, Tukizungumzia Kuwa Real yan Ur the realest, damn kiddle Yo so damn real, Just to tel you 
You got my heart, keep it. 
i dont know why i love you, but i do🌸There aren't enough words to describe how much you mean to me. There aren't enough words to describe how much you mean naomba nirudie , yaan I'm a better person because of you. I still fall for you everyday , All I need is someone who can stay no matter how hard it is to be with me. 
i'm still hoping its you and me in the end. 
The best thing in the world is knowing I'm yours and you're mine Bhaaasi .vingine tupa kuleyy, I love you, i love you not because you are perfect, but because you are so perfect for me. I will love you all my life and when I die I will still love you through eternity and beyond. 
umenionyesha that 
Love is not about how much you say "I Love You", but how much you can prove that it's true. yaan 
I love those hugs where you just don't want to let go. A relationship is not based on the length of time you spent together, it is based on the foundation you built together
My heart has always been set on you.
NAKUPENDA .. Ur my sweet love , My little Darling, My baby and Yes The Father of My unborn Child ..
Happy Birthday babe @herimuziki

No comments

Powered by Blogger.