-->

Header Ads

BREAKING: JINSI WEZI WA MAGARI DAR WALIVYOKAMATWA

KUTOKA JESHI LA POLISI

........................TAARIFA KWA UMMA.......................

Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata magari 5 yaliyoibwa yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko Mbezi msakuzi ( machimbo) na mtuhumiwa amekiri kuhusika na wizi wa magari hayo.

Kwa wale  waliowahi kuibiwa magari yao tafadhali fika kituo cha police Mbezi Luis kwa utambuzi.

Kamanda Simon Siro
Kamishna wa Police Kanda Maalumu
Dar Es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.