-->

Header Ads

DR. MAGUFULI AFANYA UTEUZI HUU TBS LEO 4 MAY




Taarifa kutoka ikulu Dar es Salaam kwa vyombo vya habari Kutoka katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi inaeleza kuwa mh. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mpya ambapo amemteua profesa Egid Beatus Mabofu kuwa mkuu wa shirika la viwango Tanzania TBS leo Tarehe 4 mwezi mei.

No comments

Powered by Blogger.