-->

Header Ads

ANGALIA JINSI XHAKA NA WELBECK WALIVYOIZAMISHA MANCHESTER UNITED

Kwenye uwanja wa Emirates, Arsenal wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya timu iliyowauzia nafasi ya sita; Manchester United. Shuti la kiungo Granit Xhaka lilimgonga Ander Herrera na kutinga wavuni kabla ya Danny Welbeck kufunga bao la pili. Huu ulikua ushindi wa kwanza wa Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger dhidi ya hasimu wake Jose Mourinho kwenye ligi kuu nchini Uinegereza.

Akisi TV imekuletea video ya magoli yote mawili na mambo yote muhimu kwenye mchezo huo, angalia hapo chini.
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA
 Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.