-->

Header Ads

MAPYA YAIBUKA TENA, KAFARA YATAJWA CHANZO CHA AJALI ILIYOUWA WANAFUNZI 32



Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika jiji la arusha na nchi nzima huku kukiwa na hisia tofauti juu ya nini kilisababisha ajali hiyo mbaya.

Kupitia taarifa ya habari ya Azam Tv ya leo  jumapili tarehe 7 may 2017 wadau mbalimbali wakiwemo wakazi wa jiji la Arusha wametoa maoni yao kuhusu tukio hilo huku wengi wakioneaha kuwa na simanzi kubwa mioyoni mwao.

Mmoja kati ya waliohojiwa katika kipindi hiko, amedai kuwa yeye anaamini kwamba tukio hilo linahusiana na ushirikiana wa kutafuta mali 'kafara' ambayo inadai imetolewa kwa shule.

Aidha chanzo hicho kimedai kuwa kumekuwa na taarifa na watu wanaamini kuwa huenda mkuu wa shule hiyo 'lucky vicent' alihusika kutoa kafara ya watoto hao.

Amedaiwa kuwa mkuu huyo wa shule alikataa na kumzuia mwanae soma shuleni hapo kuambatana na mwanafunzi walikua wanaenda kwnye safari hiyo iliyopoteza maisha ya watoto na walimu wao pamoja na dereva na kondakta wao. Amesema watu wengi wanaamini hivyo na kuhoji kwanini mkuu huyo wa shule hakutaka mwanae aende na wenzie na kwamba alipanga tukip hilo. 

Hata hivyo wapo watu mitaani wenye imani kama hiyo wakihusisha tukio hilo na kafara huku wengine wakisema kuwa huenda hata ndio maana hakukuwa na damu iliyomwagika eneo la tukio licha ya kuuwa watu wengi.




No comments

Powered by Blogger.