-->

Header Ads

Breaking News: AJALI YARIPOTIWA TENA TANGA USIKU HUU COSTA NA LORI

Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Lusanga, Muheza. Basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Korogwe limegonga Lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu wengi (karibu gari zima)BREAKING NEWS 



Taarifa zilianza kutufikia usiku wa kuamkia tarehe 8 may kupitia mitandao ya kijamii...
Updates zinakuja zaidi..



No comments

Powered by Blogger.