-->

Header Ads

KAULI YA KIKWETE, JUMA NKAMIA, BASHE NA AEISHI WA CCM BUNGENI LEO 11/04/2017





Kauli za viongozi leo

Hivi Waziri wa Habari alikwenda kufanya nini katika Press ya Roma, mkiambiwa mlimteka mtakataa? Bora kusema ukweli kuliko kukaa kimya, najua mtasema kwa kuwa nilikosa uwaziri No!  - Juma Nkamia (CCM)



Mimi nimekamatwa na kuteswa na Usalama wa Taifa. Nimenyanyaswa sana nchi hii. Ikibidi mnifukuze CCM (machozi) - Hussein Bashe (CCM)

Hakuna sababu ya Mwigulu kuendelea kukaa kimya wakati wananchi wanaishi kwa wasiwasi juu ya usalama wao. Kutoa kauli  kunasaidia kutoa hofu.-- Ridhiwani Kikwete (CCM)

Mimi ni miongoni mwa wabunge niliotishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar, na mpaka sasa mimi sikanyagi Dar licha ya kuimisi sana Hillary Aeshi (CCM)

No comments

Powered by Blogger.