-->

Header Ads

MAAJABU YA DUNIA MTOTO AZALIWA NA MKIA UNA UREFU WA CM 8

MAAJABU YA DUNIA MTOTO AZALIWA NA MKIA UNA UREFU WA CM 8


MTOTO RAIA WA NCHINI CHINA MIEZI 7 XIAO WEI (PICHANI)AMEZALIWA AKIWA NA KIUNGO KINGINE KATIKA MAKALIO YAKE KIASI CHA KUIBUA TAHARUKI NA HOFU KWA MZAZI WAKE AMBAYE ANAFIKIRIA KUMKATA KIUNGO HICHO.


MAMA WA MTOTO HUYO AMEFIKIA HATUA YA KUTAKA KUKUTANA NA MADAKTARI ILI WAWEZE KUMNUSURU MWANAYE HUYO AMBAPO HATA HIVYO MADAKTARI WAMEMSHAURI MAMA HUYO KUACH KIUNGO HICHO KWA MADAI KUWA KIKIKATWA KITAOTA TENA


HATA HIVYO TUKIO HILO LIMEELEZWA KUWA NI TUKIO LA KAWAIDA KUTOKANA NA UUMBAJI WA MUNGU, KWANI WAPO BAADHI YA WENYE ULEMAVU WA AINA TOFAUTI AMBAO WAMEWAHI KUZALIWA WAKIWEMO AMBAO HAWANA MKONO, MAPACHA WALIOUNGANA VICHWA NK.

(chanzo JF)


No comments

Powered by Blogger.