Faida ya majani ya mapera katika kujitibu magonjwa ya tumbo
Magonjwa ya tumbo yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika sehemu tofautitofauti ulimwenguni pote, na inasadikia matatizo ya magonjwa hayo hutoka na kula vyakula vichafu na ndio maana mara kaadha tumekuwa tukishauriwa ya kwamba tunawe mikono kwa maji safi na sabuni mara baada ya kutoka maliwato.
Kwani mara kadhaa usipofanya hivyo utakula kinyesi chako mwenyewe na hivyo kupelekea tumbo lako kuuma kabisa. Lakini pia utapatwa na tatizo la kuharisha au kuendesha kama wengi ambavyo huita ili kupunguza ukali wa maneno.
Kwani tatizo hili limekuwa likisababisha wa mchafuko wa tumbo, ambapo mara nyingi mtu ambaye anatatizo hili hutokana na magonjwa ya tumbo.
Hata hivyo watalamu mbalimbali wa masula ya afya wameabaini ya kwamba matatizo haya yanaweza kutibika kwa kutumia majani ya mapera.
Unachotakiwa kufanya ni;
Chemsha majani ya mapera kwa muda usiopungungua dakika 15 katika maji ya lita mbili na nusu, kisha kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3.
Au unaweza kuyatafuana majaini ya mapera yennyewe.
Lakini pia kwa mtu ambaye anasumbuliwa na kuhara damu anashauriwa kula mapera yenyewe kwani husaidia sana kuweza kutibu tatizo hili,
Asante sana kwa kuwa msomaji wa akisitv.com
No comments