BREAKING NEWS: Mtoto wa Sokoine Auawa ARUSHA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Charles Mkumbo, amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea mchana huu, hivyo jeshi la polisi lipo eneo la tukio kufuatilia kwa undani kilichojiri mpaka kuuawa kwa Kereto.
KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA jiunge LEO na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu
No comments