-->

Header Ads

ZITTO KABWE: 'RAIS MAGUFULI ANAKOSEA SANA KUHUSISHA SUALA LA MASHEIKH .. MAUAJI YA MKIRU..'


"Rais anakosea Sana kuhusisha suala la Masheikh waliopo ndani na mauaji ya MKIRU. Amewapa maadui silaha. Acha tumalize kwanza suala la miswada ya Madini kwani ni jambo linalotuunganisha. Tukimaliza tutarudi kuzungumza kuhusu Hii kauli ya Rais.Umoja na Mshikamano ni silaha ya ushindi." Ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook

"Rais anakosea Sana         

No comments

Powered by Blogger.