-->

Header Ads

JENGO LA GHOROFA NNE UDOM LA POROMOKA WANAFUNZI WAKIWA KWENYE MTIHANI

Mapema leo hii, jengo la madarasa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma UDOM limeporomoka na hadi sasa hakuna taarifa za kujerujiwa ama kifo chochote katika tukio hilo.

Mmoja wa mashuhuda ameimbia blog hii kuwa tukio hilo lilitokea majira ya asubuhi,  wakati wanafunzi wakiwa tayari kwa ajili ya mtihani.  Aidha ripot zaidi zinaeleza kuwa hali hiyo ilitokea kukiwa hakuna mvua ama radi katika maeneo hayo.

Baadhi ya wanafunzi wa chuo hiko wameelezea kuhusu kutokea kwa tukio hilo huku wakilihusisha na kile walichokiita kuwa ni ujenzi wa chini ya kiwango wa majengo mengi katika chuo hiko hali ambayo wanaitaja kama tishio.

No comments

Powered by Blogger.