-->

Header Ads

NCHINI MAREKANI WALIOBADILI JINSIA KUAJIRIWA NA JESHI MWAKANI


Marekani: Mpango ulioachwa na rais mstaafu wa Marekani Obama wa watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi la Marekani sasa kufanywiwa kazi.


Waziri Wa ulinzi marekani James Mattis
Waziri wa ulinzi nchini Marekani James Mattis amesema sera hiyo mpya itawaruhusu wanajeshi kubadili jinsia huku wakiendelea kuhudumu na kuwekea viwango vya matibabu. Ameongeza na kusema kuwa sera hiyo itaanza kutekelezwa mnamo Januari 1 2018.
Kwa upande mwingine Wanaharakati wamesema kuwa hawatofurahishwa endapo sheria hiyo itapuuziwa tena kufanyiwa kama vile hapo awali.

 



No comments

Powered by Blogger.