-->

Header Ads

TANZIA: Waziri Mwakyembe apata PIGO, afiwa na mkewe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba wa kufiwa na mke wake Bi. Linah George Mwakyembe usiku wa kuamkia leo.

Bi. Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu hadi umauti  ulipomkuta.

No comments

Powered by Blogger.