Kwa mara ya kwanza toka ajifungue,Beyonce Knowles ambaye ni mke wa rapa Shawn Carter maarufu kama Jay z ametuma picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kusema kuwa watoto wake mapacha wametimiza mwezi sasa,watoto hao ambao wakiume anaitwa Sir Carter na wakike anaitwa Rumy Carter.
No comments