-->

Header Ads

NEMANJA MATIC AMEJIUNGA MANCHESTER UTD RASMI.. TAATIFA KAMILI HII HAPA.

Klabu ya Manchester United imetangaza rasmi usajili wa kiungo wa zamani wa Chelsea ambaye amesaini mkataba wa kuitumikia Man Utd kwa misimu mitatu.

Manchester wamekamilisha dili kwa kiasi cha Euro 40 milioni. Usajili huo unarahisisha mpango wa Maroun Fellain kujiunga na klabu ya Gatasalary kukimbia uwepo wa Matic ambaye alikuwa kipenzi cha Morinho kipindi yupo Chelsea.

Usajili wa Matic ni usajili was tatu kwa Morinho dirisha hili la usajili ambapo amefanikiwa kuwapata Lindolf, Lukaku na Matic huku akikosekana Perisic pekee katika mapendekezo yake ya Usajili.

No comments

Powered by Blogger.