KIKOSI KAMILI CHA YANGA MSIMU UJAO HIKI HAPA.. NGASSA KUONGEZWA KUNDINI..
Yanga ni kama imemaliza usajili wake, ikiwa imebakiza suala la kuvunja mkataba wa Justine Zullu ambaye nafasi yake imechukuliwa na mkongo, Tshitimbi.
Kwa asilimia 80 ni kama Yanga imemaliza zoezi la usajili na kikosi chake cha msimu ujao ambacho kitakuwa na ingizo jipya la wachezaji wapya saba ingawa bado wanahusishwa na wachezaji watatu ambaye ni Ngasa, Himid Mao na beki wa Azam Gadiel Michael.
*MAKIPA:*
Rostand Youthe Jehu,
Benno Kakolanya,
Ramadhan Kabwili
*WALINZI:*
Nadir Haroub,
Vicent Andrew,
Abdallah Shaibu,
Mwinyi Haji,
Juma Abdul,
Hassani Kessy,
Kelvin Yondani
*VIUNGO:*
Saidi Juma,
Burhan Akilimali,
Yusuph Mhilu,
Pius Buswita,
Thaban Kamusoko,
Juma Mahadhi,
Papy Kabamba Tshishimbi ,
Geofrey Mwashuiya,
Raphael Daud.
*WASHAMBUAJI:*
Donald Ngoma,
Obrey Chirwa,
Matheo Anthony,
Ibrahim Ajib,
Amisi Tambwe,
Emanuel Martin
No comments