-->

Header Ads

MWANAMUZIKI Alikiba Aachia Ngoma Mpya.....Isikilize Hapa Kwa Mara ya Kwanza

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena
Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY
SIKILIZA HAPA NGOMA YAKE MPYA:

No comments

Powered by Blogger.