MANENO YA ZITTO KABWE KUHUSU Amri ya Mkuu wa Wilaya Kumkamata Halima Mdee
Amri ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni kumkamata Mbunge Halima James Mdee ni mwendelezo wa matumizi mabaya ya madaraka. Inasikitisha Sana kuona viongozi vijana wanafanya mambo ya hovyo Kabisa. Sheria ya DC kumweka mtu kizuizini Ina masharti yake na haihusiani kabisa na yanayoitwa makosa ya ndugu Halima Mdee. Tunapaswa kulaani Kwa nguvu Sana mambo haya kwani yataota mizizi na kuathiri watu wengi zaidi

No comments