-->

Header Ads

ED SHEERAN ATANGAZA KUACHANA NA MTANDAO WA TWITTER.

Msanii aliyetamba na kibao cha shape of you ,Ed sheeran ametangaza kuachana kutumia mtandao wa kijamii wa Tweeter kutokana na kushambuliwa sana na mashabiki.

Ed sheeran amesema atakua anatumia mtandao wa twitter kutoa matangazo muhimu tu na sio kama zamani ambapo alikua akichati na mashabiki zake.

Hii ni baada ya  msanii huyo kushambuliwa na moja kati ya shabiki zake kumwambia kuwa alikua anadanganya anapiga gitaa kwenye show yake wakati alikua hapigi.

Ed shareen alikanusha tuhuma hizo kwa kusema kuwa alikua anapiga gitaa wakati wa shoo yake na sio kama wanavyosema kuwa alikua anajifanya anapiga gitaa kumbe ni muziki ndio ulikua unatoa sauti.

No comments

Powered by Blogger.