BREAKING NEWS: WABUNGE NANE WA CHADEMA WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI DODOMA..
WABUNGE WA CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
Wabunge nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao wanatuhumiwa kwa kosa la shambulio la kumpiga kibao Mbunge wa Viti Maalum Juliana Shonza leo tarehe 5 Julai, 2017 wamefikishwa mahakamani mjini Dodoma kwa ajili ya kusomewa shitaka la shambulio.
Wabunge wa CHADEMA wanaotuhumiwa ni pamoja na Mhe. Joseph Selasini, Mhe. Saed Kubenea, Mhe. Frank Mwakajoka, Mhe. Cecilia Pareso, Mhe. Pauline Gekuk na Mhe. Cecil Mwambe.

No comments