Breaking: Mahakama ya kisutu yahamisha makazi yake, yamfuata Manji Muhimbili kumsomea mashtaka
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa leo mahakama ya hakimu mkazi kisutu imeamua kuondoka na jopo zima hadi hospitali ya taifa muhimbili taasisi ya moyo ya jakaya Kikwete kwa ajili ya kumsomea mashtaka mfanyabiashara Maarufu YUSUPH MANJI.
MANJI Aliwahishwa hospitalini hapo baada ya kupata tatizo la moyo kwa hivyo yuko hapo kwa matibabu na atasomewa mashtaka yake akiwa kitandani.
Updates zinaendelea.. Kaa karibu na akisi tv.

No comments