-->

Header Ads

ALVARO MORATA ATUA RASMI CHELSEA.

Alvaro Morata amekamilisha dili la kwenda Chelsea akitoa katika klabu ya Real Madrid baada ya kufuzu vipimo vya afya siku ya jana.

Alvaro Morata ambaye alikuwa anahusishwa kwenda Manchester United ila dili hilo lilishindwa kutokea baada ya Madrid kutaka dau kubwa la hela ambalo Manchester hawakuwa tayari kutoa.
Madrid walitaka kiasi cha milioni 90 kumuachia Morata kwenda Manchester ambayo waligoma kutoa na kumchukuw Lukaku kutoka Everton kwa dau la milioni 75.

Poa Chelsea watalazimika kutuma kiasi cha milioni 12 ambayo bado hawajakamilisha kufanikisha dili hilo. tayari Madrid wametuma kiasi cha milioni 58 kwa Madrid.

No comments

Powered by Blogger.