'Yaani mali ni ya kwangu mimi, ninakulindia mwenyewe unanitisha kunishtaki kwa kisingizio cha ajira!! -JPM
Rais Magufuli: Kiwanda cha Dangote kinayeyusha materials kwa joto la zaidi ya 2000°C lakini tunaaminishwa hatuwezi kuyeyusha dhahabu
#RipotiMadini "Kwa mwaka 1998-2017 thamani ya kodi ambayo haikulipwa kutoka kwenye uuzaji wa madini ni kati ya tril 68.59-108.5"- Prof.Osoro
Makampuni ya kujenga smelter ya dhahabu hayaruhusiwi lakini chuma, Cement na Tiles mnaweza hili ni soko la ajabu. @MagufuliJP
Watanzania hapa Mawaziri na Wataalamu wote mioyo yao haiwaruhusu hata kwenda kukagua smelter nje ya nchi. @MagufuliJP #MakinikiaYaPili
Rais Magufuli: Haya makontena tuliyozuia tayari yameshauzwa kwani ni mali ya motomoto
- Sasa ACACIA wanadaiwa, ndio kinachowasumbua
'Yaani mali ni ya kwangu mimi, ninakulindia mwenyewe unanitisha kunishtaki kwa kisingizio cha ajira!!'>>> @MagufuliJP #RipotiYaMadini
Rais Magufuli: Ukiwa na mchungaji wako anasema ng'ombe wanatoa lita 1 tu kwa siku ukienda kuhakikisha kama ni ukweli, ni vibaya?
'Inashangaza sana kampuni ya madini inafanyakazi nchini kunyume na sheria tena biashara ya matrilioni ya fedha'>>> @MagufuliJP #RipotiYaPili
"Tupo hapa kulinda maslahi ya watanzania sisi tusiwe watu wa kuibiwa kila siku" @MagufuliJP #MakinikiaYaPili
Rais Magufuli: Sisi viongozi tujiulize ni mara ngapi tunawadhalilisha wafanyabiashara wadogo wa Kitanzania wakiwa hawajasajiliwa
Kampuni inafanya biashara ya Trilioni of money lakini hata haijasajiliwa nchini mara ngapi tunawaumiza wamamchinga wasio na leseni.
Rais Magufuli: Nimesoma ktk Ripoti hii kuwa kampuni hii haijasajiliwa hata BRELA lakini inafanya biashara ya Matrilioni
Rais Magufuli: Tunashindwa kujitosheleza na kukopa hata kwa masharti ya ajabu ajabu wakati maliasili tunazo
@MagufuliJP
Nina Uhakika huko alipo shetani anatucheka nina imani shetani huyohuyo anatumia viongozi kuifanya Tanzania kuwa maskini. #MakinikiaYaPili
Wakuu wa wilaya wakifuatilia Taarifa ya Madini wakiwa Nashera Hotel Morogoro sasa hivi @Kasesela @MagufuliJPTranslate from Indonesian
Ndugu zangu watanzania Mungu alitupenda katuweka katika nchi ya Tanzania akatupatia Maliasili nyingi. @MagufuliJP #MakinikiaYaPili
No comments