MADUDU YAIBUKA RIPOTI YA PILI YA MCHANGA WA MADINI
Mdau wa AKISITV.COM hii leo Ikulu Raisi wa jamhiri ya Tanzania John Magufuli amepokea ripoti ya pili iliyoandaliwa na kamati iliyoundwa kuchunguza mchanga wa madini unaosafirishwa nje ya nchi.Ripoti hiyo chini ya mwenyekiti wake Prof.Eliachim Osoro imewasilisha mengi kwa raisi Magufuli.
Kampuni ya madini ya ACACIA inayojinasibu kama mmilikinwa migodi ya BULYANHULU na BUZWAGI haijawahi kuwasilisha nyaraka za umiliki huo.
Kutokana na kampuni ya ACACIA kukosa usajili nchini haikuwa na sifa za kupata leseni ya uchimbaji wa madini.
Mauzo ya makinikia hufanyika kupitia ofisi ya mhasibu iliyopo Afrika kusini hata wafanyakazi wa Bulyanhulu na Buzwagi hawajui.
Makampuni ya Pangea na Bulyanhulu yamepatikana na hatia ya kuliingizia taifa hasara kwa kutotoa taarifa sahihi juu ya uzito wa makinikia.
Mh. Raisi kampuni ya ACACIA PLC inafanya biashara nchini kinyume cha sheria ya nchi.
Mh Rais kamati inatoa mapendekezo kuchukuliwa hatua kwa mawaziri na wanasheria walioingia mikataba ya madini kuanzia mwaka 1998.
Mh Rais kamati inatoa mapendekezo kupitia msajili wa makampuni kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria kwa ACACIA
'Sheria ya madini tuliyonayo inatoa uhuru wa madaraka makubwa kwa Waziri wa Madini katika kuingia mikataba ya madini'
'Kamati inatoa mapendekezo kuwa mikataba yote ya madini irudishwe Bungeni kujadiliwa na kisha kupitishwa kwa maslahi ya taifa.
Mh Rais Tanzania ina kampuni nyingi sana zinazohusika na usimamizi wa madini lakini tumeendelea kupata hasara kama nchi.
Tanzania inaweza kuanzishwa kwa kiwanda cha uchenjuaji wa madini hapa nyumbani upo uwezekano mkubwa.
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali Andrew Chenge na kamishna wa madini Dalali Kafumu walihusika na mikataba ya madini'
Kamati imebaini fedha za madini zinawekwa katika Benki za nje ya nchi hivyo kusababisha ukwepaji wa kodi- Prof.Osoro.
Sheria ya madini inatoa uhuru wa madaraka kwa Waziri wa Madini katika kuingia kwenye mikataba ya madini. #MakinikiaYaPili
Ripoti ya Mchaga wa Madini: Kamati imebaini Mikataba inatoa misamaha mingi ya kodi hivyo kukosa manufaa kwa taifa
Kamati imeona kwamba Tanzania tunaweza kujifunza kwa nchi ya Ghana kupewa kipaumbele kwa Wazawa katika migodi. #MakinikiaYaPili
Kamati imebaini hakuna malipo yoyote ya dola laki 1 kwa mwaka yaliyofanyika tangu mwaka huo ambapo hadi sasa ni jumla ya USD 1.8 mil
Mikataba ya uchimbaji imekuwa ikitoa misamaha ya kodi ambayo haina maslahi kwa taifa na hivyo mikataba nayo haina faida.
Mh Rais kamati imebaini kuwa Mh William Ngeleja na Sospeter Muhongo walitoa mikataba mipya bila kufuata sheria za nchi. #MakinikiaYaPili
Mh Rais Mkataba wa North Mara ulisainiwa na Waziri Daniel Yona Mwaka 1999 baadaye Nazir Karamagi Mwaka 2017. #MakinikiaYaPili
Kamati imebaini Serikali ilikuwa na 15% ya hisa mgodini Bulyanhulu hadi mwaka 1999 chini ya Waziri A. Kigoda zilipopunguzwa hadi 5%
Pangea Gold mine ina mikataba miwili ilisainiwa na Mh Daniel Yona baadaye Mh Nazir Karamagi serikali haina hisa Yoyote. #MakinikiaYaPili
Mh Rais katika uchunguzi wetu Serikali ina hisa asilimia 15 ikauza 5 na kila mwaka kamishna au Waziri wa Fedha hupokea dola laki 1.
Mikataba hiyo Mh Rais haina Masharti kuwa Serikali inapaswa kupewa taarifa ya uuzwaji wa Makinikia kutoka ktk migodi. #MakinikiaYaPiliTranslate from Indonesian
Mikataba hiyo Mh Rais haina Masharti kuwa Serikali inapaswa kupewa taarifa ya uuzwaji wa Makinikia kutoka ktk migodi. #MakinikiaYaPili
Mh Rais kamati imepata mikataba ya mauzo ya uuzwaji Wa makinikia nje ya nchi kuwa serikali haihusiki kabisa. #MakinikiaYaPili
Mh Rais jumla ya Kodi tulizopoteza ni Sawa na makadirio ya bajeti ya serikali kwa kiwango cha Mwaka 2017/18 kwa miaka 2. #MakinikiaYaPili
Mh Rais kodi ya mapato tuliyopoteza ni Trilioni 55 kodi ya zuio yaaani holding Tax ni Trilioni 54. #MakinikiaYaPili
Prof. Osoro: Kiwango cha dhahabu kwa kila kontena ni 28kg; kwa miaka yote ni tani 1,240
>Thamani yake kwa ujumla ni Tshs 108 trilioni
Prof. Osoro: Kamati imebaini kilichokuwa kinauzwa ni madini halisi na sio makinikia pekee kama ilivyokuwa ikielezwa
Mh Rais jumla ya makontena 44277 jumla ya makontena yaliyosafirishwa toka mwaka 1998 hadi leo ilikuwa Trilioni 132 kiwango cha chini.
#RipotiYaPiliYaMadini Kamati ilibaini kuwa makinikia yaliuzwa kwa wafanyabiashara walewale wenye mahusiano na makampuni ya madini-Prof.Osoro
"Makampuni ya usafirishaji mizigo bandarini yamehusika kukwepa kodi kwa kutoa taarifa za uongo."- Prof. Osoro #RipotiYaMadini
Kiwango cha Silver kwa kutumia viwango vya juu Tani 300 na zaidi toka Mwaka 1998 hadi leo ni zaidi ya bilioni 303. #MakinikiaYaPili
#RipotiYaMchanga
Kamati imebaini makontena 44,277 kwa kiwango cha chini yalisafirishwa nje ya nchi kati ya 1998 na 2017.
Uchunguzi wa kamati UMEBAINI kuwepo kwa utakatishwaji wa fedha faida kurudishwa kama mkopo kwa makampuni haya.
#MakinikiaYaPili
#RipotiYaPiliYaMadini Biashara ya uuzwaji wa makinikia haukufanyika kwa ushindani sio kweli waliuza makinikia bali waliuza madini-Prof.Oroso
Gharama za utafutaji na upembuzi zimejumuishwa katika mauzo ya uuzwaji kwa kupunguza faida hivyo hawatozwi kodi. #MakinikiaYaPili
Prof. Osoro: Kamati imebaini makontena ya makinikia yaliyozuiliwa Bandarini yameshauzwa tayari
Prof Osoro: Inashangaza kuona taasisi za serikali kama TRA na TMAA zinashirikiana na ACACIA wakati watu hao hawatambuliki kisheria
MUBASHARA :wafanyakazi wote wa Acacia Bulyanhulu wakifuatilia kinachoendelea kuhusu suala la makinikia.Translate from Indonesian
Kiasi cha mrabaha katika ofisi za Bulyahulu walilipa dola milioni 111.3 lakini TMA inaonyesha tumelipwa dola milioni 42 tu. #MakinikiaYaPili
Ripoti ya Mchanga: Kutokana na Kampuni ya ACACIA kukosa usajili nchini haikuwa na sifa za kupata leseni ya uchimbaji madini
Makampuni ya Pangea na Bulyahulu yamepatikana na hatia ya kuliingizia Taifa hasara kwa kutokutoa taarifa sahihi juu ya uzito wa makinikia.
Mh Rais kamati imeridhia kuwa baadhi ya watumishi wa serikali, makampuni ya usafirishaji na TMAA wameliingiza Taifa hasara kwa makusudi.
Translate from Indonesian
Mh Rais kisheria makampuni ya madini yanapaswa kutoa maelezo katika aina ya madini wanayosafirishwa kwenda nje. #MakinikiaYaPili
Prof. Osoro: ACACIA inayojinasibu kama mmiliki wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi haijawahi kuwasilisha nyaraka za umiliki huo
Mauzo ya makinikia hufanyika kupitia ofisi ya muhasibu iliyopo nchini Afrika kusini hata wafanyakazi wa Bulyahulu na Buzwagi hawajui.
Mh Rais kampuni ya ACACIA PLC inafanya biashara nchini kinyume cha sheria za nchi. #MakinikiaYaPili
Mh Rais kamati ya Rais ilibaini kuwa Pangea na Bulyahulu ndiyo wasafirishaji wa makinikia yakiwa yameshauzwa tayari. #MakinikiaYaPili
No comments