-->

Header Ads

VIDEO: IZZO BUZNESS AFUNGUKA SAKATA LA MCHANGA,ASEMA HIVI KWA JPM..

Image result for izzo bizness emanuel



Msanii Emmanuel Simwinga, Izzo Busness kutoka kundi la #THE AMAIZING amezungumzia kuhusu sakata zima la mchanga wa madini ambalo wasanii wa bongo flava na bongo movie walijitokeza kushuhudia tukio la Rais J.P Magufuli kukabidhiwa riport maalumu kuhusu mchanga huo..

AKISITV.COM na AKISI TV imefanya mazungumzo na msanii huyo kutoka Green city MBEYA na haya ndio mazungumzo ya Izzo Busness Anayetamba na ngoma yake ya #Tumeoana ALOIMBA NA ABELLA MUSIC kuhusiana na suala hilo...

Tumekuwekea video hapa chini Tafadhali bonyeza ili uweze kusikia vyema maneno yake mwenyewe..


JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments

Powered by Blogger.