-->

Header Ads

USAIN BOLT KUSTAAFU BAADA YA MBIO ZA DUNIA MWAKA HUU 2017


JAMAICA: Mwanariadha raia wa Jamaica, Usain Bolti amesema ataendelea na harakati za kukimbia hata mara baada ya mbio za dunia za mwaka 2017.
Usain bolt Bolti mwenye umri wa miaka,30 alishawahi shinda zaidi ya mara nane mbio za Olimpiki. Ikumbukwe kwamba hapo awali Usain Bolt alishawahitangazaga kustaafu baada ya mbio za London mwezi Agost mwaka jana lakini kwa sasa amesema kustaafu ni mpaka mara baada ya mbio za dunia mwaka huu 2017.

Taarifa zaidi ni kwamba  siku ya Jumatatu Bolt alifanya mazungumzo na kocha wake Glen Mills na kuafikiana juu ya kuhitimisha kwa safari yake katika medani ya riadha.
Bolt amekuwa mmoja wa wakimbiaji mashuhuri duniani huku akitajwa kama binadamu mwenye kasi zaidi.

No comments

Powered by Blogger.