-->

Header Ads

JOTI AASWA NA BABA YAKE KWENYE NDOA YAKE, AAMBIWA YEYE CHA MTOTO KWENYE VITUKO

 



Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika maisha yake ya ndoa huku akidai yeye alikuwa navituko hata mkuzidi mtoto wake huyo lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake. 
Mzee huyo amesema hayo wakati wa sherehe ya ndoa ya mtoto wake huyo iliyofanyikia Mlimani City Dar es salaam ambapo  pia amemtaka Joti kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake.


KWA HABARI ZA HIVI PUNDE TANZANIA LEO jiunge na AKISITV na www.akisitv.com updates zote utazikuta humu

No comments

Powered by Blogger.