PICHA; RONALDO APATA WATOTO MAPACHA, PICHA YAO YA PAMOJA HII HAPA..
Ronaldo hatimaye ameachia picha rasmi za watoto wake aliowapata wiki mbili zilizopita huku bado hajamweka wazi mama wa watoto hao. watoto hao ambao wote ni wakiume bado majina yao hayajawekwa wazi.
Ronaldo aliweka wazi rasmi ujio wa watoto hao baada kutolewa na Chile katika kombe la mabara na kuthibitisha kuwa hivi sasa ni baba wa watoto wawili mapacha na kufanya kuwa na idadi ya watoto watatu wote wakiwa wakiume.
Ikumbukwe Ronaldo anamtoto mwenye miaka saba ambaye anatambulika kama Cristiano Ronaldo Junior "Cristianinho" akichukua jina la baba yake huku pia mama yake hajulikani mpaka leo.
No comments