-->

Header Ads

IJUE VIDEO INAYOONGOZA KWA KUTAZAMWA SANA YOU TUBE

Kwa muda mrefu sasa msanii toka Korea kusini Psy na kibao chake cha "Gangnam Style" ndiye alikua anaongoza kwa kuwa msanii mwenye nyimbo iliyotazamwa sana Youtube,nyimbo hio ambayo imetazamwa zaidi ya mara bilioni 2 na milioni 147,(2,147,483,647) ndio iikuwa inaongoza kutazamwa Youtube.

Lakini juzi nyimbo hio ilipinduliwa na nyimbo ya Wizkhalifa inayo itwa "See you again" aliyomshirikisha Charlie Puth .Nyimbo hiyo ambayo imefikisha idadi ya watazamaji zaidi ya bilioni 2 na milioni 895,(2,895,373,709) ndio nyimbo inayoongoza kwa kutazamwa sana You tube.

Kwa hio kwa sasa Anaeongoza ni Wizkhalifa akifuatiwa na Psy  huku Adelle akishika nafasi ya tatu na kibao chake cha "Hello" na nafasi ya nne ikishikwa na Justin Bierber na nyimbo yake ya "Sorry"

Powered by Blogger.