Anna Mghwira kuapishwa Asubuhi hii kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Twitter inaeleza hivi "Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mteule - Anna Mghwira leo Juni 6, 2017 saa 3:30 asubuhi hii Ikulu Dsm
#HapaKaziTu"
JIUNGE NASI AKISI TV KILA SIKU KUPATA HABARI ZA UHAKIKA Nini maoni yako? Weka comment yako hapa,

No comments